kwa wana JF wote.....inakera sana.!!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
e bana eeh hii tabia mi inanikera sana....''ujue sio wote lakini some members huwa tuna-access JF kwa kutumia mobile na si computer as many does!! so kwa sisi mobile users huwa tunapata shida sana pale mtu anapoleta habari ambayo infact zile habari ndefu ndefu, labda za magazeti na kadhalika, so utakuta tunaifuatilia ile habari mpaka mwisho..thatz fine...na kumbuka kwamba tunatumia kile kitufe cha simu kukibonyezabonyeza hadi habari inaisha!!

Sasa kinachonikera ni kwenye upande wa comments, kwenye comments utakuta mtu badala ya kuandika tu comment, yeye anaanza ku-'qoute' (reply with qoute) anainakili ile habari yoooote, halafu comment yake utakuta anaandika lets say 'crap' ...thatz all, sasa mi napata shida tena ya kukibofyabofya kile kibatan cha sim mpaka niikute comment yake ambayo ni nothing....si unajua sim zenyewe za mchina bana...vidole huwa vinauma sana....huwa mara nyingi tunakuwa tunashindwa kufuatilia comments za watu kwa ajili ya huu upuuzi wa ku-qoute habari ndeeeeffu halafu halafu nothing u comment..

...hey nyie PC users tufikirieni wengine MOBILE users...
 
Almanusura niikoti post yako ili ni comment. Haya ndugu ujumbe umefika na umesomeka.
 
Sizinga comment yako imenikosha. Mi zingine zikiwa ndefu sana huwa nazipotezea.
 
Asante kwa kuliona hilo mkuu, members kweli inabidi tubadilike.
 
Mi niliwahi kusema hapa kuhusu hili. Nilisema wakati mwingine nairuka post bila kuisoma simply bcoz imequote mkeka mzima wa post being replied to. Lakini wakati mwingine unaona justification ya kuquote, hapo silaumu. Nadhani sasa wapendwa wanaJF wataquote pale tu panapostahili.
Asante Mkuu Sizinga kwa kuongeza nguvu ya kilio chetu sisi watumia mobile.
 
SAFI SANA, but usishangae hata sasa mtu akacomment huku ameikoti hiyo uliyoandika....hahaahaaaaa
 
Back
Top Bottom