Kwa wana Jf mbeya,

Kijallo

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
409
61
Bila kujali vyama vyetu,dini zetu na tofauti zetu nyingine,tuunde umoja wetu,na kufahamiana.kwa wanaoishi mbeya. NAWASILISHA
 
hoja nzuri sana mkuu,mie nitakuwa wa kwanza katika muda wowote,ikiwezekana tuwasiliane
 
Mmmh ndugu yangu utawaponza wenzio maana wengine ni wanaccm na wanaiponda sana ccm hapa jamvini, sasa wakijulikana?
 
Naomba tusipoteze muda, wiki moja kabla ya ziara ya Rais wetu Dr. tukutane Mzumbe garden tupange mikakati, nipo tayari.
 
tuna watakia kila la heri maandalizi ya ziara ya Dr.Slaa mbeya, iringa...
 
Naomba tusipoteze muda, wiki moja kabla ya ziara ya Rais wetu Dr. tukutane Mzumbe garden tupange mikakati, nipo tayari.
haina shaka mkuu,kumbe huko mzumbe,msalimie dada mmoja kamanda anaitwa Solwa,
 
hbr bwana kijalo. Mzumbe garden ipo wapi? Vipi ni kijalo yule engineer?
asante sana mkuu kwa mwitikio wako,mm sio engineer,labda tumefanana majina tu.Mzumbe garden ipo getini kuingia mzumbe un,mbeya cumpas.unaweza pendekeza sehem nyingine mkuu, huyo kijalo jina la kwanza nani?
 
kaka asante kwa ujumbe. Huyo kijalo namfahamu kwa jina moja tu. Kuhusu mkutano, mimi ni mwana JF nipo dar ila ni mzaliwa wa mby. Natokea kwa wajanja Isanga. Hata hivyo, nitaomba ninyi mliopo mby mkijadili mambo yahusuyo mbeya msisite kutujulisha sisi tuliopo Dar ambao tunatokea mby.
 
haina shida mkuu,karibu kwenye maandamano april
 
Back
Top Bottom