Kwa wana CHADEMA halisi

WEWE MBURULA AMBAE HATA JINA UMESHINDWA KUANDIKA ET (mmh) ACHA UPUMBAVU WAKO NA ONDOA PROPAGANDA ZAKO TUSHAWASHTUKIA
 

Mimi sina chama na wala sio chadema asilia wala sipo kwenye kundi la chadema makapi lakini kura yangu ccm hamuwezi kuipata
 
Ugojwa wa kisonono nasikia bado upo!Tena nasikia unaweza kusambaa na kuharibu ubongo.!
 

Magojwa mengine ni hatari.
 
Wewe sio chadema wewe ni ccm
show your true ccm bro, chadema halisi tupo na tunaendelea na mapambano...ukitaka mfuate dr. Mihogo si yupo huko mkaanzishe chama chenu....hapa sisi tuliisha sahau anything rather than lowasssaaaaa mabadiliko mabadiliko........utamalizia....wasilimie lumumba.


huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! Kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!
 
.

Kuendelea kubaki chama cha Siasa Hai na Imara,CHADEMA ni lazima mgombea Urais wao ashinde na kutwaa kiti cha urais wa Tanzania; vinginevyo CHADEMA itaifuata NCCR mageuzi kwenye LIMBO--from Madela wa madilu

cc JokaKuu & Madela Wa- Madilu
OH YeS :A S thumbs_up: you both are scientific correct😛eace:
 
Last edited by a moderator:
maada yako haina dira sisi tutampa kura mgombea wa ukawa hata kama waweke jiwe
 
Mamluki wa CCM nyie kama huridhishwi na CHADEMA uko huru kuhamia. CCM, ole wake aingie mtaani mtawakumbuka Mamluki waliopata kichapo
 
Sumaye amesema leo hata kama Chadema watachukua madaraka lazima baadhi ya viongozi kutoka ccm waongezwe.

Hii inaonyesha dharau za Sumaye dhidi ya Chadema.
 
Sumaye amesema leo hata kama Chadema watachukua madaraka lazima baadhi ya viongozi kutoka ccm waongezwe. Hii inaonyesha dharau za Sumaye dhidi ya Chadema.
Yule anajua pale hakuna mwenye akili kupewa nchi
 
uwomuda wakuandika hayo maneno yote ni bora ungelala..ukakua. jengine ..wewe ndiyo mburula... tena wewe ni mburula % ...

Hapa ni ukawa%
 
ITmasaki , tunga jingine na hilo limepinda.tatizo mleta uzi fake mnautoa China ??? Jaribu India walau inaweza kusaidia.
 
Sana... hapa kazi tu, ninabaki mdau wa CDM asilia lakini kwa tapeli kuuza chama na kujiona yeye anajua kuliko sisi tulikuwa tunakichangia chama kwa ada zetu na nguvu zetu, katu hatuwezi kushiriki na mnafiki katika vita safi, hatuwezi kumkumbatia nyuki tena ..tunapaki basi, tunarudi kwa Magufuri, tunampa kura na tunajiorganize upya adui yetu akiwa msaliti wetu kwanza mengine baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…