Kwa wamiliki wa Landcruiser pick up

Sep 11, 2017
1
0
2526404.jpg
Kutokana na utafutaji umekuwa mgumu kidogo hivyo inatulazimu kwenda mizunguko ya mbali kabisa. na gari nayoona inafaa kwa miaka kenda ni land cruiser pick . tupene updates zake uzuri, common problems zake tunataka tujibane tuvute moja. ama kwa ambaye anaye anaweza wasiliana nasi 0767 52 74 54 asanteni wahenga.
 
Duuh jamaa wamegomesha kabisa ushirikiano??
Bahati mbaya mm ni mkulima namiliki pikpik ningekusaidia mkuu
 
View attachment 586137 Kutokana na utafutaji umekuwa mgumu kidogo hivyo inatulazimu kwenda mizunguko ya mbali kabisa. na gari nayoona inafaa kwa miaka kenda ni land cruiser pick . tupene updates zake uzuri, common problems zake tunataka tujibane tuvute moja. ama kwa ambaye anaye anaweza wasiliana nasi 0767 52 74 54 asanteni wahenga.
Mkuu ukiwa na Landcruiser pickup una gari la maisha. It is a very good car providedyou take care of it. Nadhani lina problems za kawaida tukama gari lingine. Unatakiwa kulitunza vizuri. Ni garu imara sana ndiyo maana hata bei yake inazidi Toyota Landcruiser za kawaida.
 
Back
Top Bottom