Kwa wamiliki wa Day care na nursery school

aiGi Systems

Member
Dec 14, 2021
11
5
Tunatambulisha kwenu Amelipa system. Mfumo huu utakuwezesha kuweka kumbukumbu za wanafunzi, malipo ya ada, kutuma ujumbe mfupi wa maandishi pindi mzazi anapolipa ada, kumkumbusha mzazi kulipa ada na kutuma matangazo kwa wazazi.
Ni rahisi sana kutumia na unaweza kutumia kwa simu pia.
Huna haja ya kuangaika kutunza kumbumbuku za malipo na wala huna haja ya kila wakati kuangalia Nani anadaiwa. Mfumo wet utafanya kazi hiyo kwa niaba yako na utatuma taarifa kwa wazazi.

Kwa maekezo ya ziada angalia viambatanishi hapa chini lakini pia usisite kuwasiliana na sisi kwa usajili
Screenshot_20211214-092449.jpg
IMG_20211214_121708_931.jpg
IMG_20211214_120500_306.jpg
 
Kazi nzuri kabisa. Mnafanya kwa Day care pekee au mpaka primary school.
Naipataje huduma yenu na ikiwa nitahitaji msaada napataje?
 
Kwa sasa tunafanya kwa Day care Ila soon tutaenda mbele zaidi kwa shule za msingi.
Baada ya wewe kutujuza kuwa umevutiwa na huduma yetu wataalamu wetu watakukoa shuleni kwako na kusajili mfumo wetu shuleni kwako.
Tutaingiza details zote za shule yako ikiwemo majina ya wanafunzi, namba za Simu za wazazi. Tutaingiza pia aina zote za malipo na gharama zake.
Tutatoa matunzo kwa admn wa shule yako jinsi ya kutumia mfumo wetu.
Timu yetu ya wataalamu watakuwa tayari kutoa msaada kwako kila mara utakapowahitaji.

Karibu sana tukusajili na mfumo wetu ambao ni rahisi sana kutumia na kwa gharama nafuu kabisa
 
Back
Top Bottom