hahaha.... I love this song; Imenipa bitter sweet memories.... Na nakumbuka the first time nimesikiliza nikagundua wamechukua instrumental ya "I gat 5 on it" ya Luniz (ambayo pia I loved) especially the chorus.... Check!
I got five on it grab your 40 let's get keyed,
I got five on it messin wit that Indo weed,
I got five on it it's got me stuck and not go back
I got five on it ... tala lala lala laa(nimesahau the words hapa...lol)
Topic: Kwa wamama na wadada .only...
Mbona naona watu wenye ID za kiume wamejazana humu?
Nawasalimu tu jamani, wend njema!
hahahahah!! Ukiona hivi ujue napenda spooning....lol So you can guess....
Tutakua twabadilishana baada ya masaa. Kama nilivosema caring is sharing...lol
mbona hunipi jibu kuwa unahitaji wangapi?
Mmmh..Ashadii, na wewe upo kwenye list? Canta hawezi kukubali nafahamu! Ngoja nitoke tu kwenye huu uzi nisije kuonekana na mimi nipo kwenye msako!Hizo ID ziliingia baada ya kuona wanawake tuliojitolea kwenda huko tumefurika.
Hivo unao waona hapa woote ni good samaritans... Ila bado kuna akina dada
wamepyaya partnere (Usishangae hapa ni Love Connect); Kuna mmoja atawafaa
kama Cantalisia atakubali mujaribu a threesome... Anaitwa Swts... OR mwingine Mama Isaac. lol
Topic: Kwa wamama na wadada .only...
Mbona naona watu wenye ID za kiume wamejazana humu?
Nawasalimu tu jamani, wend njema!
Those were ze dayz. Nakumbuka enzi kuna gym moja uswahilini jamaa kila siku alikuwa anakuja na mredio wake mkubwa, anaweka tape (no CDs those days) aliyorekodi rap hiyo moja tuu both part A na B of the tape. Akimaliza zoezi huyo anazima na kuanza zake.
Konny wewe Psychologist? Umejuaje napenda ukutani? lol
Tena napenda tukilala hivo sura iface ukuta not the other way round...:embarassed2:
Mie nimeshaaga kwetu sirudi hadi siku 2, utanipeleka unakotaka.
Kweli itabidi unihurumie tu tubadilishane, naweza nikalia ukikataa.
Nikuchukulie nit dress ya rangi gani?
Mmmh..Ashadii, na wewe upo kwenye list? Canta hawezi kukubali nafahamu! Ngoja nitoke tu kwenye huu uzi nisije kuonekana na mimi nipo kwenye msako!
Mmn itabidi nilale kulingana na wengine watakavyolala
Ngoja nikimbie aisee..naweza kitatupiwa talaka ya fasta fasta.Angalia Canta asikukute huku. Huku ni gateaway (in and out)
hahahahah!! Ukiona hivi ujue napenda spooning....lol So you can guess....
As if between me and Konny you would have an a,b,c choice! lol.
Role yako kwa Canta siwezi kuisahau kabisa...mwisho wa hii sredi nitakutafuta unifahamishe ulichogain!Hapana mimi sipo huko... Umesahau mimi ndie kungwi wa Canta? Mie hapa niko kuchukua coz ya theory... full kubwabwaja. lol
Ngoja nikimbie aisee..naweza kitatupiwa talaka ya fasta fasta.
Naona wewe umeweka kambi kabisa.
Hizo ID ziliingia baada ya kuona wanawake tuliojitolea kwenda huko tumefurika.
Hivo unao waona hapa woote ni good samaritans... Ila bado kuna akina dada
wamepyaya partnere (Usishangae hapa ni Love Connect); Kuna mmoja atawafaa
kama Cantalisia atakubali mujaribu a threesome... Anaitwa Swts... OR mwingine Mama Isaac. lol
Kwa mazoezi tu hayo kwenye avatar inaonesha flexibility ya hali ya juu.... Naamini hutakosa chance....lol
For health and safety, no acrobat please.