Kwa waliozaliwa tarehe hizi

Kwa waliozaliwa tarehe hizi

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
mwangaruka mayo

kwa wale marafiki waliozaliwa tarehe hizi 8,18,28 (Hifadhini) wangependa
kuona tabia zao zinaoendana na wao waliovyo katika tarehe zao hizi.

Utafiti uliofanywa unaonesha wengi waliozaliwa tarehe hizi wanakuwa
na mambo yafuatayo:

Huu ni utafiti tu na sio mtazamo wangu marafiki nanyi mwaweza toa yenu
angalieni lugha isiwatishe hapa nimenukuu mahali fulani:

AGE CHARACTER : 8, 18 na 28
* Ambitious and serious
* Loves to teach and be taught
* Always looking at people’s flaws and weaknesses
* Likes to criticize
* Hardworking and productive
* Smart, neat and organized
* Sensitive and has deep thoughts
* Knows how to make others happy
* Quiet unless excited or tensed
* Rather reserved
* Highly attentive
* Resistant to illnesses but prone to colds
* Romantic but has difficulties expressing love
* Loves children
* Homely person
* Loyal
* Needs to improve social abilities
* Easily jealous

Nanyi mwaweza kuonesha mawazo yenu hapa

KARIBUNI SANA MARAFIKI

Lady niece na wewe ni mnyantuzu?

nasikia eti nyie mna nyota zenu maalumu! etii?
 
Last edited by a moderator:
heheheheheheeeeeeeeeeeeeeee jamani
nakuacha macho wazi ndo nini hiyo
isitoshe hadi hizo lugha mbili mpaka nibahatishe
kuzisikia kwa ndugu ndo nizikopy na kupaste kichwani mwangu
whaaat? mbona unazidi kuniacha macho wazi?
 
heheheheheheeeeeeeeeeeeeeee jamani
nakuacha macho wazi ndo nini hiyo
isitoshe hadi hizo lugha mbili mpaka nibahatishe
kuzisikia kwa ndugu ndo nizikopy na kupaste kichwani mwangu

mamii una kicheko murua!!.. dah!

unajua mixture ya msukuma na mzaramo, mnazalisha muiziraeli!

sasa nilivyokuona tu nikajua nimeoa jiniaz leo!
 
hivi hujui kuwa msukuma na mzaramo anakuwa mtoto mwafrikasti
jua kuwa mm ni mwafrikasti mtanganyika

heeeee mbona unaniogopesha umeinioa lini tena?
samahani sijui kama humu mjengoni kunakuwaga na ndoa
zaidi ya marafiki tu wewe nikome na unitue kabisa

unamjua babu Asprin?

huyo ndo main character.. anakagua bidadaz wote.. actually humu tuna ndoa, watoto tushazaa na wajukuu tunategemea kulea!

halafu unapooongea uwe makiini!! humu kuna maaskari watunza usalama kama Window7 na Askari jamii!

mamii usiogope kuingia kwenye ndoa eenh!
 
Chapchap sana mwambie a kam zis wei kabla sijamlamba ban mpaka kwenye server. Mwambie kabisa aje without ili kupunguza upungufu na kupoteza muda bure.
 
Last edited by a moderator:
Simjui ndo nani tena mjengoni hapa?

Maaskaariiiiiiii heeeee?

Ndoaaaaaaaa za kikweli kweli au za uongo?

unamjua babu asprin?

Huyo ndo main character.. Anakagua bidadaz wote.. Actually humu tuna ndoa, watoto tushazaa na wajukuu tunategemea kulea!

Halafu unapooongea uwe makiini!! Humu kuna maaskari watunza usalama kama window7 na askari jamii!

Mamii usiogope kuingia kwenye ndoa eenh!
 
Nije kufanya nini tena mbona mnanitisha nyie jamani
hamnipokei vizr jamani
kwani wewe ndo nani hapa mjengoni?
chapchap sana mwambie a kam zis wei kabla sijamlamba ban mpaka kwenye server. Mwambie kabisa aje without ili kupunguza upungufu na kupoteza muda bure.
 
Back
Top Bottom