Kwa waliozaa kabla ya ndoa

Hii ndio price ya kuzaa nje...pay the price dude like a man!....Ushauri ni kupoteza muda tu.
 
Wakati unatafakali la kufanya...vuta picha wewe ndio umeoa mwanamke ambaye amezaa mtoto nje alafu yule jamaa awe anakuja nyumbani kuja kumuangalia mwanae na kuonana na mzazi mwenzie...
 

samahn dada maamuz yap magum?
 

Daah! Baadhi ya mama wa kambo wanaroho za kishetani
 
Tumia hekima sana katika hii, ukicheza vibaya kete yako utaondoa amani ya mkeo ,pia utamweka mtoto kwenye mazingira ya kujenga chuki nawew, mkeo huyo au hata na watoto wa huyo mama,au mkeo kumchukia huyo mtoto. Kama sio sasa basi hapo mbeleni.

Cha msingi kutana na mzazi mwenzio tumia busara kuzungumza nae mueleze condition za mkeo then sikiliza mawazo yake hapo utajua kete gani ya kusukuma next, bila kusikiliza pande mbili utakosea maamuzi
 

Mwache mtoto alelewe na mama yake mzazi.
Apate huba la mama.
Wewe ndiwe uwe unamtembelea bila mkeo kujua.
Uwe unatuma matumizi.
Hii ni njia salama na rahisi.

Nobody iz perfect!!!
 
Mpeleke mtoto boarding school visiting day Mama yake ataenda huko.

Ila una mtihani mgumu sana kimaisha wengi hapa hawaelewi ni wepesi tu kukushauri waonavyo.

Mtoto anahitaji kumjenga kisaikolojia kwa nini hauishi na Mama yake. Pole sana.

Well said!
.watu wanachukulia poa haya mambo ila magumu sn na yanaleta mgogoro kwny ndoa!
 

Daah
Masikini,so sad!!
Sa na wewe kwwnini ulikuwa husemi,humwambii bro ako?

Kweli wanawake tuna roho mbaya Sana sio siri!
Mi ndo maana huwa nawashauri wanaume kuoa wanawake waliozaa nao!!!
 

mimi nakushauri rudisha mtoto kwa mama yake halisi alafu wewe ndio uwe unaenda kumuona mtoto huyo kijana akiwa mkubwa atakufuata but lazima utimize majuumu kama baba ongea na mama wa mtoto aendelee kukaa nae tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…