Kwa waliowahi kwenda Dodoma interview PSRS tupeane ramani mahali pa kufikia...

Mimi huwa sifikii guest wala lodge mkuu so sifahamu bei hizo ila maeneo ya Area C , nkuhungu, bati, city, na maeneo ya maili mbili au hata wajenzi pia mitaa ya irdp/mipango hayo ni maeneo yanaweza kuwa na hizo guest ila bei inaweza kugharimu sasa sijui uwezo wa mtu ila 10000 na kuendelea sizani kama utakosa pamoja kulala, labda mpaka niulize baadae ntatoa jibu kuwa guest huko ni shingapi exactly maana maeneo ya Area D huko kuna hotels na kama ni lodge inatia shaka kuwa huwezi pata kwa bei hiyo, hata hivyo hayo maeneo nimetaja ukiamka saa 11 asubuhi unakuta daladala 400 mpaka stand ya town pale, ukifika saa 12 town hiyo ni mida ya kazi watu wanaingia UDOM Kwa bodaboda(5000/) so huwezi hofia chochote pia ukivuka kule relini mbele kuna makazi ya watu atauliza boda boda ili afanye mabadiliko ya makazi maana kutokea kule ni 1000 kwa bajaji mpaka UDOM na huko ndo wanaishi wanafunzi wengi wa UDOM jina la mtaa nishasahau kitambo N.B mitaa hiyo ndo yenye makazi ya Chee.

Fika siku mbili kabla uende ukaone na ufanye namna. Wapo watakao kusaidia pia kwenye uzi wako, mimi si mtenbeaji sana so siku sijui mitaa mingi ilivyo
hizi ni data za mwaka ghan maaana gharama zimepandq Dom. mimi nimetoka juzi tu.. na maeneo mengi ni kuanzia 15,000/=
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni mmoja wa wasailiwa tunaotakiwa kwenda Dodoma maeneo ya chuo kikuu kwa ajili ya usaili...nlikuwa naomba tupeane ramani kwa wale waliowahi kufika kabla kuhusu sehemu za kufikia za karibu kwa ajili ya malazi na huduma nyingine, Ikiwezekana tujuzane na garama pia kwa atakaekumbuka....Ahsanteni

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi nakushauri achana na hizo Ishu za utumishi
Utapoteza mda bure na rasilimali zako ,kama unashughuli ya kufanya endelea nayo.

Ila kama una mtu huko Utumishi nenda lkn kama hunaa unaenda potezaa mkuuu.
 
Mzee usiwaze negative una hela ya kwenda na uko vizuri kwenye kitu waenda fanyia wewe nenda kajaribu watu wanapata mbona bila connection wala mbuyu
 
Je unauhakika na icho unachokisema,kama nafasi 5 basi 4 ni wenye connection,sasaivi utumishi sio ile ya miaka 5 nyuma,kwamba unahabari pepa zao sasaivi zinavuja sana,
 
asante...VENUE NI CBSL CAFÉ THEATRE “1”

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ok! kama venue Cafe Theatre 1huko CBSL(maarufu kama BUSSINESS,bondeni au Humanities ndivyo boda wengi wanajua kwa majina hayo).Nakushauri ulale Makulu,asubuhi ujitahidi kuamka upande daladala(zitakuwepo zile zinazowahisha wale wanaoenda kuona wagonjwa wao Benjamin),ushukie njiapanda ya SOSHO,uchukue bodaboda pale,lazima utazikuta,umwambie boda akupeleke huko wanakojua kwa jina la bondeni au humanities,akufikishe hadi kwenye venue husika.Ila kama uko vizuri kiuchumi,uchukue bodaboda tokea Makulu akupeleke CBSL,ni 2000,hapo ni karibu kuliko ukienda kulala Ng'ong'ona karibu na COED.Bodaboda utakayetoka naye MAKULU,umchukue ambaye anajua lokesheni,uongee naye kabisa,asije akakupeleka mbali akavuka njiapanda ya SOSHO makusudi au kwakutojua hivyo ukageuzwa fursa.Kila la kheri.
 
Je unauhakika na icho unachokisema,kama nafasi 5 basi 4 ni wenye connection,sasaivi utumishi sio ile ya miaka 5 nyuma,kwamba unahabari pepa zao sasaivi zinavuja sana,
Mzee ya ega nlienda na cousin flani kuna karabrasha nlikosa sikufanya yeye kapita mwanzo mwisho yuko pale eGA mshara 2.6m sehem pple wanataka ila mtt wa mkulima yupo mjengoni.
afu kuvuja paper hakukuzuii wewe kufaulu
 
ok! kama venue Cafe Theatre 1huko CBSL(maarufu kama BUSSINESS,bondeni au Humanities ndivyo boda wengi wanajua kwa majina hayo).Nakushauri ulale Makulu,asubuhi ujitahidi kuamka upande daladala(zitakuwepo zile zinazowahisha wale wanaoenda kuona wagonjwa wao Benjamin),ushukie njiapanda ya SOSHO,uchukue bodaboda pale,lazima utazikuta,umwambie boda akupeleke huko wanakojua kwa jina la bondeni au humanities,akufikishe hadi kwenye venue husika.Ila kama uko vizuri kiuchumi,uchukue bodaboda tokea Makulu akupeleke CBSL,ni 2000,hapo ni karibu kuliko ukienda kulala Ng'ong'ona karibu na COED.Bodaboda utakayetoka naye MAKULU,umchukue ambaye anajua lokesheni,uongee naye kabisa,asije akakupeleka mbali akavuka njiapanda ya SOSHO makusudi au kwakutojua hivyo ukageuzwa fursa.Kila la kheri.
asante sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mzee ya ega nlienda na cousin flani kuna karabrasha nlikosa sikufanya yeye kapita mwanzo mwisho yuko pale eGA mshara 2.6m sehem pple wanataka ila mtt wa mkulima yupo mjengoni.
afu kuvuja paper hakukuzuii wewe kufaulu
Mkuu ni kweli kabisa eGA pesa ipo, nakazia tena eGA pesa ipo. Na kama ulivyosema, sio kila anaetoboa kwenye hizo saili ana mbuyu utumishi. Muhimu ni candidate husika kuhakikisha yuko vizuri kweli. Saili za kada ya IT hazina ujanja ujanja, ukiotea written ukapenya unapambana na practical kabla ya oral.
Ushauri wangu watakaoitwa kwenye usaili waende tu, sababu pekee ya kutokwenda iwe tu pale mtu anapojiona kabisa hayuko vizuri kwenye hicho anachokiomba
 
Mwenyewe nna majibu ya oral naskilizia nlifanya juzi kati naona siku hazitembei kabisaa
 
Kila la kheri mkuu, hopefully utaitwa kazini. Uzuri wa oral mtu ukitoka kama umezingua unajua. Kama umetoka kwenye oral na matumaini bado yapo high kiasi hicho naamini kabisa ilienda vizuri
 
Back
Top Bottom