Kwa waliowahi kwenda Dodoma interview PSRS tupeane ramani mahali pa kufikia...

Mkuu ni kweli kabisa eGA pesa ipo, nakazia tena eGA pesa ipo. Na kama ulivyosema, sio kila anaetoboa kwenye hizo saili ana mbuyu utumishi. Muhimu ni candidate husika kuhakikisha yuko vizuri kweli. Saili za kada ya IT hazina ujanja ujanja, ukiotea written ukapenya unapambana na practical kabla ya oral.
Ushauri wangu watakaoitwa kwenye usaili waende tu, sababu pekee ya kutokwenda iwe tu pale mtu anapojiona kabisa hayuko vizuri kwenye hicho anachokiomba
We unaambiwa ule usaili uliopita Kuna Wana walikodi Kosta toka dar yaan lile pepa wanaloenda piga likawa ndo linadiskasiwa kwe gari mpk dereva nae anachangia point. Matokeo yake mpk Leo usaili ule upo kimya wakat wadau imekost mpk laki kwa malazi kula na usafiri.
 
Mimi nakushauri achana na hizo Ishu za utumishi
Utapoteza mda bure na rasilimali zako ,kama unashughuli ya kufanya endelea nayo.

Ila kama una mtu huko Utumishi nenda lkn kama hunaa unaenda potezaa mkuuu.
Nimeenda utumishi mara 2 na mara moja nimefika oral, watu wanaajiriwa bila koneksheni Wala Nini, na ni mwaka Jana tu, wakati mwingine tusiwakatishe watu tamaa
 
ok! kama venue Cafe Theatre 1huko CBSL(maarufu kama BUSSINESS,bondeni au Humanities ndivyo boda wengi wanajua kwa majina hayo).Nakushauri ulale Makulu,asubuhi ujitahidi kuamka upande daladala(zitakuwepo zile zinazowahisha wale wanaoenda kuona wagonjwa wao Benjamin),ushukie njiapanda ya SOSHO,uchukue bodaboda pale,lazima utazikuta,umwambie boda akupeleke huko wanakojua kwa jina la bondeni au humanities,akufikishe hadi kwenye venue husika.Ila kama uko vizuri kiuchumi,uchukue bodaboda tokea Makulu akupeleke CBSL,ni 2000,hapo ni karibu kuliko ukienda kulala Ng'ong'ona karibu na COED.Bodaboda utakayetoka naye MAKULU,umchukue ambaye anajua lokesheni,uongee naye kabisa,asije akakupeleka mbali akavuka njiapanda ya SOSHO makusudi au kwakutojua hivyo ukageuzwa fursa.Kila la kheri.
Fuata hii
 
Naona baadhi ya wale wanaenda CBSL kufanya interview sijui wamefuata maelekezo yapi,watu wamefikia kule kijijini,na interview inaanza saa moja asubuhi,chuo kimefungwa kwahiyo usafiri wa shida sana kesho,hivyo kwa wale ambao wamepewa maelekezo ya kufikia kijijini,kesho wasipokua makini,bodaboda watawapiga hela hadi wajute,full kuwapoteza makusudi,hasa kwa wale ambao hawajafanya survey ya kujua ukumbi uko wapi.Kila la heri.
 
Habari za humu, naomba kuuliza ikiwa kuna yeyote ambae ana uzoefu au ameshawahi kufanya interview coca cola hasa kwenye nafasi ya Sales Representative. Tupeane uzoefu maswali yao yapoje au mchango wowote kwenye hili.
 
Vp mzee ulifanikiwa kufika ujatupa mrejesho
Wakuu mrejesho ni kwamba Nilifanikiwa kufika eneo husika tena bila kusumbuka kutokana na maelekezo nliyoyapata humu kwa hilo nashukuruni sana....Ila yaliyojiri ni kwamba outcome haikuwa nzuri sana kwan bahat haikuwa upande wangu nmeishia usaili wa theory tu nmemiss max mbili ili kuwa legible kuendelea na oral.. By the way kuna vingi nmejifunza sababu ilikuwa ndo interview yangu ya kwanza tangu kuhitimu masomo...lesson nliyopata n pamoja na kwamba dk40 tu ndo mtihan unafanyika ila n kulingana na kada flan kuna wengine time ni ndefu adi kufikia lisaa...pia maswali yako very technical ilikuwa inachukua time sana kufikiria jinsi ya kuanza kujibu ndan ya ule mda na kumaliza sababu maswali yote yalitaka explanations hakukuwa na ku-mention..pia at the same time unahitaj speed sababu zile dakika zinavyowahi kukata ukiwa mle ndani unaweza jikuta hujafanya vitu kwa usahihi au ukawa na kazi rough au kutokumaliza maswali ..ila yote kwa yote nmegundua nlipojikwaa na nitafanyia correction for the next chance ...ASANTENI.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mwema ndo inavyokuwa usikate tamaa nafasi ikitokea Tena tuma sio lazima iwe muhimbili
 
naikumbuka hio 40 min ni hatar na nusu unaandika essay huku akil inasolve swal linalofata ninhatar enz hizo sababpa pta hall ni shida
 
wat tumellala jamhur pale .
Ndio kutokuw serious huko unless kama umejipanga kuvuruga kwenye hiyo interview..kwa mtu aliyeserious hawez akaanza safari kwenda dodoma jion ili alale stand na asubuh yake aende kwenye interview...huyo namchukulia ni mtu anayeeenda kukamilisha ratiba tu na sio aliyejiandaa kiakili na kiutimamu wa mwili kuingia kwenye interview
 
Back
Top Bottom