KWA WALIOSOMEA UALIMU WA AWALI TU,WEKA JINA LA CHUO CHAKO NA MAWASILIANO

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,856
Kwakuwa walimu tupo wengi,nashauri,kwa walimu tuliosomea ualimu wa awali tushirikishane kwa kuweka mawasiliano na mahali unapoishi kwa sasa,ili wakati mwajiri anapita mtandaoni,atachagua nani amuite kulingana na uhitaji wake. Tuanze sasa:-

1.Makumira university-degree
Contacts:0763269465

2.
kuna mtu anatoa Tsh 50000/= Daycar kama uko tayar njoo katoro-
 
Waajiri wanatangaza nafasi za ajira kwa mfumo rasmi then wanawaita watu kwa Interview. Mwajiri hawezi kuja kuanza kutafuta kila reply ya mtu kwenye uzi atakuwa amekosa kazi

Utakuwa umetumwa wewe
 
Waajiri wanatangaza nafasi za ajira kwa mfumo rasmi then wanawaita watu kwa Interview. Mwajiri hawezi kuja kuanza kutafuta kila reply ya mtu kwenye uzi atakuwa amekosa kazi

Utakuwa umetumwa wewe
Woga wako-umaskini wako
 
Back
Top Bottom