Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Wanajamvi nimetafakari mambo kadhaa kuhusu shule hii ya Shighatini, kwa muda mrefu nilikuwa nasikia sifa zake na wale watu waliopita pale akiwemo mimi, naomba tuwasiliane (PM) ili tuzungumze mawili matatu.
Pia mwenye picha za ile shule enzi hizo na sasa jinsi ilivyo tunaomba atupatie, nilisikia kuwa Mkuu wa Shule enzi hivo Mr. Mgonja alishastafu siku nyingi, mwenye maelezo zaidi atusaidie.
Pia mwenye picha za ile shule enzi hizo na sasa jinsi ilivyo tunaomba atupatie, nilisikia kuwa Mkuu wa Shule enzi hivo Mr. Mgonja alishastafu siku nyingi, mwenye maelezo zaidi atusaidie.