Mnasifika kwa kufeli sana
Majengo ni zaidi ya shule,sema sisi si kama wa ilboru full misifa,nafurahia hapa nilipo kwa ajili ya brush la majengo,naamini kuna ma GT wengi hapa ambao ni mazao ya majengo,watakuja punde.
Mnasifika kwa kufeli sana
Napenda kuwakumbusha Kuwa Majengo ni shule ambayo Sita sahau mana nilijifunza Mengi kupitia Broo Lyimo nimemmiss sana Kama wewe ni wa Majengo tukumbishane chochote kuhusu shule yetu wadau.
Doing the right thing, at the right time and at the right plece with the right person! Been there man form six class of 2001
Shule ya vilaza hii ni vidivision three tu vimejaa
Mtoto wangu sitompeleka hii shule.. hovyo sana
Mnasifika kwa kufeli sana
Wewe ndio unasema, hii thread ni maalumu kwa wana majengo