Kwa waliosoma lyamungo na umbwe high school tu.

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,894
Reaction score
1,485
hebu 2kumbushane mambo\habari za kipindi kile unasoma kati ya shule hizi.mimi kitu nakumbuka ni bifu\ kati ya shule hizi iv bado lipo? hv asili yake ni nini??

mimi nipesoma lyamungo!
 
Oooo mimi nimesoma narum,nakumbuka misa za pamoja,na jinsi lyamungo na umbwe mlivyokua mnagombania madem shuleni kwetu,hilo ndo lilikua bifu lenu nadhani hadi sasa litakuwepo,ila nilimaliza kitambo sina uhakika kwa sasa.
 
haa kumbe umesoma narumu safi sana mhu lete habari.
 
nilisoma umbwe skuiz si skii tena migomo kama enz zile lile bifu na eliyamungo.
 
Haha sasa hiv kama lyamungo waliokuwa na fujo walikuwa 0 Level sasa hiv kuna Advance tu kwa hiyo fujo zimepungua Pia miaka hii tofauti na zamani zamani wanafunzi walikuwa wakorofi tofauti na sasa watoto wa mama Hawajui fujo...
Mi nilipiga Lyamungo O level Nazikumbuka sana Joint mass Za Narum,somsom,Mlama,Msufini,Machame Girls,Weruweru daaaa mmenigusa wakuu
 
Mimi nlsoma Somsom bwn, ila baadae nkahama! Zile joint mass zilikuwa zinanifürahisha sana!!! Mechi je kat ya Somsom na Umbwe, ilikuwa fujo tuu!! Daah, namiss sn zle moments!!!!!!!
 
Haaahaaa Umbwe vs Lyamungo kuna mechi tulikuwa tunapiga na Narum jamaaa wa Lyamungo akaja akakimbia na mpira kukatokea timbwili la hatari aiseee Umbwe tulichezea kichapo ile jioni. Tulirudi kesho yake asubuhi mida ya saa 11 tulitembeza chapo la ukweli tukaacha historia pale Lyamungo na FFU walipo kuja Umbwe walishangaa kukuta watu wapo bize wanafanya usafi wa asubuhi yaani lile tukie tulilifanya kama Maninja aisee. Ilikuwa utoto sana but kwa kipindi hicho ilikuwa kaa ufahari flani.

Acha usanii,99% ya wanafunzi wa narum ilikua ni wasichana,wavulana tulikua tunawaita mapadri kwa sababu walikua hawafiki hata timu ya mpira kwa shule zima,na walikua ni wa hapo kijijini,sasa mlichezaje nao? Au ni kale kamechi dhidi yetu madem tunapotoka ibadani? Kwani hako kamchezo kamekua sugu hadi ulimwengu huu wa sasa,watu wanagombana saaana kwa hilo.
 
Haha sasa hiv kama lyamungo waliokuwa na fujo walikuwa 0 Level sasa hiv kuna Advance tu kwa hiyo fujo zimepungua Pia miaka hii tofauti na zamani zamani wanafunzi walikuwa wakorofi tofauti na sasa watoto wa mama Hawajui fujo...
Mi nilipiga Lyamungo O level Nazikumbuka sana Joint mass Za Narum,somsom,Mlama,Msufini,Machame Girls,Weruweru daaaa mmenigusa wakuu

ulipita lyamungo mwaka gan mkuu? mimi 2003_2007 na 2008_2010 A and O level
 
Haaahaaa Umbwe vs Lyamungo kuna mechi tulikuwa tunapiga na Narum jamaaa wa Lyamungo akaja akakimbia na mpira kukatokea timbwili la hatari aiseee Umbwe tulichezea kichapo ile jioni. Tulirudi kesho yake asubuhi mida ya saa 11 tulitembeza chapo la ukweli tukaacha historia pale Lyamungo na FFU walipo kuja Umbwe walishangaa kukuta watu wapo bize wanafanya usafi wa asubuhi yaani lile tukie tulilifanya kama Maninja aisee. Ilikuwa utoto sana but kwa kipindi hicho ilikuwa kaa ufahari flani.

narumu au lyaskika?
 
Acha usanii,99% ya wanafunzi wa narum ilikua ni wasichana,wavulana tulikua tunawaita mapadri kwa sababu walikua hawafiki hata timu ya mpira kwa shule zima,na walikua ni wa hapo kijijini,sasa mlichezaje nao? Au ni kale kamechi dhidi yetu madem tunapotoka ibadani? Kwani hako kamchezo kamekua sugu hadi ulimwengu huu wa sasa,watu wanagombana saaana kwa hilo.

nadhani huyu anamaanisha lyaskika na c narumu.
 
hebu 2kumbushane mambo\habari za kipindi kile unasoma kati ya shule hizi.mimi kitu nakumbuka ni bifu\ kati ya shule hizi iv bado lipo? hv asili yake ni nini??

mimi nipesoma lyamungo!

shule za mchangani hizi hazipaswi kujadiliwa hapa jamvini
 
Niko lyamungo kwa 2013-2015 yaani kiukweli cku hizi shule imetulia ile mbaya ila bado watu wanaogeshana kwenye mto yaani ni shidaaa
 
Jamani tuache utani UMBWE NA LYAMUNGO wana mazingira mazuri sana.VERY GREENISH
 
Haaahaaa Umbwe vs Lyamungo kuna mechi tulikuwa tunapiga na Narum jamaaa wa Lyamungo akaja akakimbia na mpira kukatokea timbwili la hatari aiseee Umbwe tulichezea kichapo ile jioni. Tulirudi kesho yake asubuhi mida ya saa 11 tulitembeza chapo la ukweli tukaacha historia pale Lyamungo na FFU walipo kuja Umbwe walishangaa kukuta watu wapo bize wanafanya usafi wa asubuhi yaani lile tukie tulilifanya kama Maninja aisee. Ilikuwa utoto sana but kwa kipindi hicho ilikuwa kaa ufahari flani.

Nimepiga pale 2008-2010 A-level hii kama nakumbuka ilikua mechi pale lyasikika kati ya umbwe na lyaskika c lyamungo tulikua watazamaji ila upande wa lyaskika sasa umbwe wakaanzisha bifu na cc baada ya kufungwa na madogo
 
Ndio ndio upo sahihi 2liwapa kipondo cha haja cku hyo nakumbuka tena ilikua ijumaa
 
Back
Top Bottom