Kwa waliosoma hiki kitabu

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
18,958
55,054
Everything is f*cked,a book about hope.
Author Mark Manson.

Je unakubaliana kwa kiasi gani na yaliyoandikwa humu.

What are your opinions about this book?

ubrb4109743011413169444.epub.jpg
 
Hiki kitabu nimekisoma but sijakimaliza ila kwa ujumla nimejifunza vitu vingi sana vinavyoendelea huko duniani na namna vinavyoathiri maisha yetu ya kila siku. Hasa anaoozungumzia Thinking brain and feeling brain. The concept of religious, 1st, second and third Newtown's law.nk. Ngoja nikimalize kwanza
 
Yeah mkuu nimekupata vizuri,je unasemaje kuhusu ile sehemu ya religions?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom