Ni kitambo sasa kimepita xijaonana na school mates wangu niliosoma nao BULYAGA PRIMARY SCHOOL TUKUYU MBEYA MWAKA 2001-2007, Kama mpo humu njooni pm tusalimiane maana ni muda kweli mpk nimewamiss
Nyie watoto wa Mwakilusya mnasumbua ko we 2007 unajuona mjongweeeee wakati wenzio wapo wanaendesha boda huku hata smatfoni hawana hahahahaaa Utukunywikwe nndamu!