Kwa waliosoma Bed.PESC Mlimani pita hapa.

Kwa waliosoma Bed.PESC Mlimani pita hapa.

Jnkina

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
57
Reaction score
17
Nahitaji mkufunzi wa michezo mwenye sifa tajwa hapo juu, akiwa na Master's degree itakuwa ni vema zaidi. Jinsia ya kiume. Wenye sifa ni PM. SERIOUS.
 
Nahitaji mkufunzi wa michezo mwenye sifa tajwa hapo juu, akiwa na Master's degree itakuwa ni vema zaidi. Jinsia ya kiume. Wenye sifa ni PM. SERIOUS.

kabla yu mtu kukupm toa taarifa zaidi kuhusu hiyo nafasi
 
Salary ni $ ngapi kwa saa mkuu? Naeza acha piga box nikaja huko

Hahahahaaaa mkuu kama uko nje nahisi haitakufaa, anahitajika mtu urgently... Afu unauliza salary in terms of $$$$ ....😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom