Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 932
Wapendwa,
Natumaini hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu.
Naomba kwa mwenye latest information anisaidie kujua kusajili kampuni ya up to Tsh 500,000 nominal capital inagharimu jumla ya Ths. ngapi na zinahitajika nakala (copies) ngapi za memorandum and articles of association.
Asanteni sana wapendwa na mbarikiwe.
Glory to God!