Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Sitasahau Ali Salum alivyotaka kuongoza mapinduzi, akatupandikiza chuki dhidi ya Rais Saimon Mathius Kipara, watu tukapiga ruti za ndani, ila siku Kipara alipojitokeza rev square, tukaanza kumshangilia na kumbeba.

Kipara alikuwa na waziri mkuu mpiganaji sana. Mh Paul Chacha.
Hii comment imenikumbusha mbali sana.
Asbh jamaa anabandika matangazo kila kona
 
Daah. Yaani kati ya wanawake jasiri Helen(AISHABIB) nae alikuwa namba 1. Ningekuwa na uwezo ,na pia angenikubali tungeoana.
Alikuwa mtata..kuna siku watu walingushwa na ffu pale mwenge wakizuiwa kwenda ikulu, alibanwa akaingia chini ya gari hali ikatulia alivyotoka kachafuka, kapandwa na wazimu kapga kelele
 
Ni list ndefu iliyofukuzwa 2011,
1. Alphonce Lusako (Emekha)
2. Evarist Ambrose Silayo
3.Baraka Monance (kijicho)
4. Mabirika Mawazo (Al-shabab)
5. Helen Philip Mushi (Al-shabibi)
6. Fredy Chacha Hatari
7. Elius Mwambapa
8. Francis Ndunguru
9. Japhet Mwashimaha (Sokwe)
10. Legan Michael
11. Bocasa
na viongozi wa DARUSO kama
1. Daniel Naftal (Waziri wa mikopo)
2. Paul Mkenda (Menyekiti, UDSL)
3. Ado Shaibu (katibu UDSL)
4. Nicodemus Kazimil
na wengine siwakumbuki majina.
Ila ktk list hii nilikuwa namkubali sana Ambrose Evarist Silayo, jamaa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, I can see a future leader in him. Pia akina emekha na wengine wote ni wazuri ktk harakati, but mi nilimkubalisana Silayo.
Walikuwa 54, wakarudishwa 35, wakabaki 19
Daaaah! Nawazoom sana hz comment
 
Waliokuwa DARUSO ndio wengi wao wamerudishwa. Al-shabibi alinikosha kwenye ile ruti ya kudai buku kumi, wakati askari wanataka kumkamata, aliingia mtaroni akatoka amejaa matope, wakamuacha aende zake.
Maeneo ya mwenge
 
Back
Top Bottom