Kuna muda hua namshangaa Mama Yangu
FaizaFoxy fox kwa kuhoji shule tulienda kudomea kitu gani? Lakini unapokutana na mikasa kama hii unajikuta unaungana nae.
Endapo umefikia hatua ya kutuma maombi ya kazi na umetumiwa email, unasema haujaielewa, inamaana hauwezi kufanya chochote ndio juhudi zako zimeishia hapo?
Ikibidi nenda ofisini kwao au piga simu kuulizia hicho ambacho haujaelewa. Ikiwezekana jibu hiyo email kutaka ufafanuzi wa shida yako.