Kwa walioomba kazi Red Cross, majina ya walioitwa kwenye usahili yametoka?

hollo Deus

Member
Dec 10, 2018
22
6
Habari,wana JF?

Nilikuwa nauliza kama kuna mtu aliwahi ku-apply kazi Red Cross, kama amepata information yoyote ya kuitwa, mie ni mmoja wapo nimeona wamenitumia email, ila sijaielewa

Kama kuna mtu amepata email kwao naomba anifafanulie . Asante.
 
Kuna muda hua namshangaa Mama Yangu FaizaFoxy fox kwa kuhoji shule tulienda kudomea kitu gani? Lakini unapokutana na mikasa kama hii unajikuta unaungana nae.

Endapo umefikia hatua ya kutuma maombi ya kazi na umetumiwa email, unasema haujaielewa, inamaana hauwezi kufanya chochote ndio juhudi zako zimeishia hapo?

Ikibidi nenda ofisini kwao au piga simu kuulizia hicho ambacho haujaelewa. Ikiwezekana jibu hiyo email kutaka ufafanuzi wa shida yako.
 
Njoo nisomee basi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom