Kwa waliooa tu

Kuishi nyumba za kupanga hakuzuwii nyie kuendelea na utaratibu wa wanandoa, msiangalie watu wa nje angalien ndani kwenu maana ndipo furaha yenu IPO. Ogeeni pamoja kama mmoja wenu anapenda msiangalie watu wanawaonaje
 
Ila mkuu umempga mkeo kwa ishu hiyo tu dah! Umemuonea muombe msamaha

Mm nilikuwa naoga na napiga kabisa kimoja humohumo watapanga foleni mpaka wataongea ila cha ajabu Sasa nipo kwangu hiyo habar hata siipend!
 
Starehe nyingine kama maisha yenu ni ya kuungaunga ni bora uachane nazo tu.
 
Adabu kwa nani? Kama hakuna hilo sharti la mke na mume kutoruhusiwa kuoga pamoja sioni tatizo.

 
Aah blaza mie sina huo muda aise
Si unajua sisi wanaume wa kinyakyusa tulivyo wababe hatunaga muda wa kuonesha mahaba ya namna hiyo kwa wake zetu

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna kitu sikipendi kama hiki. Labda jioge na mchepuko. Kwanza wanawake mjue kabisa wanaume hatupendi kuona mwanamke ambaye yupo uchi wa mnyama. Ila hakuna kitu kama chupi ilovaliwa na mwanamke ambayo mwanaume anafurahi kukuona umeivaa. So ukitaka kumfurahisha mumeo baki na chupi. Mke unakuta kifuani kitu kishaenda km za kutosha, tumbo nalo yalishagawanyika yakawa 2. Then unataka ukaoge na mumeo aaaaaaaaaah.
 
Ila mkuu umempga mkeo kwa ishu hiyo tu dah! Umemuonea muombe msamaha

Mm nilikuwa naoga na napiga kabisa kimoja humohumo watapanga foleni mpaka wataongea ila cha ajabu Sasa nipo kwangu hiyo habar hata siipend!
Sio mpiga mkuu ni Mpinga
 
Kuishi nyumba za kupanga hakuzuwii nyie kuendelea na utaratibu wa wanandoa, msiangalie watu wa nje angalien ndani kwenu maana ndipo furaha yenu IPO. Ogeeni pamoja kama mmoja wenu anapenda msiangalie watu wanawaonaje
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…