Mke wako Ni ngumu kukukubalia uwasaidie ndugu zako.Ukitaka kumsaidia ndugu yako, usianze kumshaurisha mkeo. Pesa unayo mpe tu.
Tatizo huja unapoanza kwenda kuulizia, ndugu yangu kaniomba laki tano unanishaurije nimpe au vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini jua hata mkeo ana ndugu zake wanaojitegemea lakini wakiwa na shida anawasaidia.Ukishaoa tu,ndugu yako wa kwanza ni mkeo na watoto wako...baada ya hapo ndio wengine wanafuata.Dada zako watakuwa na waume zao,ndugu zako wa kiume watakuwa na wake zao na wao watakuwa wanapambana na familia zao.Unaweza ukawa unawatendea wema sana hasa kipindi hiki ambapo hawajawa na familia,lakini wakishakuwa na familia ni rahisi kukugeuka.Cha muhimu ni kuwa makini umpate mke/mume sahihi.
Sio muda wote ndugu zako wanasubiria mshahara wako.Washauri pia ndugu zako wajiandae kujitegemea hata we unamahitaji pia sio kisa nilikua nagawa mshahara kwao basi wanasubir mwisho wa mwezi wako ili wapate mgao
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uko sahihi ndio maana nakushauri unatakiwa upate mtu sahihi.Lakini jua hata mkeo ana ndugu zake wanaojitegemea lakini wakiwa na shida anawasaidia.
Tena anakutuma wewe ndio uwatumie huo msaada.
Mkuu ndugu hamuwezi kuwa level moja ya maisha kwa familia za kiafrica.
Kuna wengine wanahitaji backup ili aweze kusogea mbele.
Pia mke wako hajawahi kuwa ndugu yako hata siku moja.
Just ask ambao ndoa zilisumbua ndio utaelewa.
Mkeo Ni life time partner ambaye tumechagua kuishi nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are a real man!!Mke wako hawezi kuwapenda na kuwatetea ndugu zako Kama ndugu zake.
Ni wachache Sana wanaoweza kufanya hivyo. Wachache mno.
Kuna muda yuko radhi hata mtu baki asaidiwe lakini asiwe ndugu yako!!
Mwanaume tambua kuwa mkeo Ni rafiki tu wa ukubwani. Muda wowote kila mtu anaweza kuwa na njia yake.
Ndugu zako Ni ndugu zako tu.
Wakiteseka Kama ulikuwa na uwezo wa kuwasaidia ni mwanaume wa kulaumiwa na sio mkeo!!
Hakikisha ndugu zako hawateseki kwa interest za mkeo!!
Ni ushauri tu wanaume wenzangu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeolewa mama #Teewifematerial mwenzako natafuta wakuoa
Jaribu ulaya na marekani mkuu. Tatizo sio hilo, bali ni kutokuwepo mazingura mazuri kumfanya kila mmoja ajitegemee. Sisi tulipata sapoti ya waliotutangulia, nasi tutaendelea kuwasapoti wanaotutegemea hadi hapo mazingira yatakapo kuwa sawa.Ukishaoa au kuolewa mtu wako karibu ni mume au mke pamoja na watoto familia zetu nyingi za kiafrika hatupati Maendeleo kutokana na msururu wa watu wanao kutegemea hilo ndio tatizo kubwa
Umeandika vya maana mkuuUkishaoa tu,ndugu yako wa kwanza ni mkeo na watoto wako...baada ya hapo ndio wengine wanafuata.Dada zako watakuwa na waume zao,ndugu zako wa kiume watakuwa na wake zao na wao watakuwa wanapambana na familia zao.Unaweza ukawa unawatendea wema sana hasa kipindi hiki ambapo hawajawa na familia,lakini wakishakuwa na familia ni rahisi kukugeuka.Cha muhimu ni kuwa makini umpate mke/mume sahihi.