witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Nlikua nikijikojole naamka usiku godoro naligeuza juu chini bi mkubwa asilione., viboko vilinifanya nibuni njia mbadala... Simple![]()
![]()
![]()
Ila godoro langu lilikua lina ramani za dunia nzima, kuanzia barani ulaya, asia mpaka africa... Kila nchi na mikoa yake, mpaka vijiji...

