Kwa waliojiriwa au kujiajiri!

Kwa waliojiriwa au kujiajiri!

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
Baada ya kuwa umechagua kazi uliyo nayo sasa, ungepewa nafasi nyingine, je ungesomea kazi hiyo hiyo au kufanya hiyo unayofanya kwa sasa? Kama hapana ni nini ungependa ufanye na kwa nini? Ni kazi ipi unafikiri inaoongoza kwa kuwafanya wanaoifanya wasiwe na furaha?
 
Kazi yeyote yakujiajiri ni nzuri

Nmesoma ila nmejiajiri natafuta ajira natamani sana kuzitumia skills zangu nlizopata chuoni, All in all kila sehemu kuna changamoto zake
 
mimi ningepewe tena nafasi ningesoma haya haya mambo yangu ya kodi na huku huku ndiyo ningependa kuwepo
 
kikweli natamani sana kuwa mwalimu, najiuliza kwanini sikusoma education, nilisoma procurement inaninyanyasa tu, nafanya kazi lkn sio ya ujuzi wangu, nahs nikipata kipesa na muda narudi kusoma ualimu, lakin wa kimataifa ....ata kaumri nahs kananiruhusu ila hela sasa ya kusoma na majukumu nimeyaanza......cheeeeeeeeee
 
Nmesoma ila nmejiajiri natafuta ajira natamani sana kuzitumia skills zangu nlizopata chuoni, All in all kila sehemu kuna changamoto zake

kwanini usitumie skills zako kwenye ajira ambayo umejiajiri?
 
kikweli natamani sana kuwa mwalimu, najiuliza kwanini sikusoma education, nilisoma procurement inaninyanyasa tu, nafanya kazi lkn sio ya ujuzi wangu, nahs nikipata kipesa na muda narudi kusoma ualimu, lakin wa kimataifa ....ata kaumri nahs kananiruhusu ila hela sasa ya kusoma na majukumu nimeyaanza......cheeeeeeeeee

uko tofauti wewe, komaa ukasome postgraduate mwaka mmoja
 
Nilitamani sana kusoma medical doctor ila nilikosa nafasi tcu wakanitupa sehemu nyingne huwa najilaumu sana, ningekuwa naweza kulipa ada ningeweka degree niliyonayo pembeni ningejisomesha tena, MD, tatzo bei ya mkaa
 
Back
Top Bottom