Kwa waliofungishwa ndoa za shida na raha Kanisani, Mnatakiwa kurudia upya

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Wachungaji wengi wamekuwa wakitumia haya maneno wanapofungisha ndoa kwamba je,utampenda huyu katika shida na raha? Au je,utampenda katika afya na ugonjwa?

Sasa unajua ndoa ni agano, na ule wakati wa kutamka ndipo mnatengeneza agano.Na pale kwenye ndoa Mungu huwa anakuwepo na shetani anakuwepo pia.

Sasa kila mmoja anachukua yake,na Mungu hawezi kuchukua shida wala ugonjwa, hayo yatachukuliwa na shetani,na hivyo shetani anakuwa amepata kibali cha kuleta shida, ugonjwa, umaskini,nk kwa sababu mmekubali.

Na hapo tayari kunakuwa na mapepo yanakabidhiwa ndoa yenu ili kuleta shida zote katika ndoa yenu.Unajua kwa sababu katika Mungu matarajio yetu ni mema tu hakuna mabaya.

Tunafuta iyo ndoa ya shida,ugonjwa katika ulimwengu wa roho na kisha unaingia katika ndoa ya aman,upendo,furaha,nk.

Na ndio maana hata michepuko kwenye ndoa imeongezeka iyo nayo inaweza kuchangia pia.
 
Ni kweli yuko sahihi lakini anapotoa namba za simu badala ya ushauri kwa jamii napata mashaka naye! Hoja yake ni too spiritual. .. ila simu hizo kuna mchezo mchafu.
 
Ni kweli yuko sahihi lakini anapotoa namba za simu badala ya ushauri kwa jamii napata mashaka naye! Hoja yake ni too spiritual. .. ila simu hizo kuna mchezo mchafu.

Naweka Namba Za Simu Kwnz Najiamini, Na Ushauri Hapo Ni Mpaka Umpate Mchungaji Mwny Huo Ufunuo. Lkn Mimi Pia Mungu Amenipa Neema Ya Kutengeneza Na Nipo Vzr.

Hakuna Mwny Ujasiri Wa Kuweka Namb Za Simu Kwa Sbb Wanajua Huwa Wanapost Matusi.
 
Hii ndo aina ya wachungaji wa kizazi hiki....sijui mnasoma biblia ya wapi

Hapo Ndg,nimeongea Kiroho Sana, Kama Haupo Kwa Mungu Ni Vigumu Kuelewa.
Lakini Iyo Ndio Hali Halisi.
Maana Ndoa Ni Jambo La Kiroho Na Sio Kimwili, Bali Harusi Ni Jambo La Kimwili. Tatzo Wachungaji Wengi Wamekariri Tu Hawajaingia Ndani Ya Roho Mt.
 
Hakuna cha kiroho hapo,roho inaweza kuwa peke yake bila mwili....katika maisha lazima kuna wakati mtu atapitia mambo magumu,yenye kuvunja moyo mf. njaa,kufiwa,magonjwa,n.k...huwezi kwenda tambarale maisha yote
 
Hivi hayo maneno hutumiwa na wachungaji kutoka hewani au yapo kwenye bible?

Hivi unaweza kuishi maisha yako yote bila kupatwa na tatizo?

Mkuu, Hayo Maneno Hayapo Kabsa Kwny Biblia, Utaona Wanasoma Kwny Kajitabu Kadogo Wamechapisha Tu Wenyewe. Utawauliza Kama Yapo Kwny Biblia Ni Kitabu Gani?

Alafu Suala La Kupata Watatzo Hayo Sio Malengo. Mungu Huwa Maahidi Baraka,mafanikio,heshma,nk, Mungu Hawezi Kukuahidia Baraka Na Laana.
Mungu Awabariki
 
Hakuna cha kiroho hapo,roho inaweza kuwa peke yake bila mwili....katika maisha lazima kuna wakati mtu atapitia mambo magumu,yenye kuvunja moyo mf. njaa,kufiwa,magonjwa,n.k...huwezi kwenda tambarale maisha yote

Hakuna Mtu Mwny Akili Timamu Anaepanga Ratiba Ya Mambo Au Matatzo Yatakayomtokea Kwa Mwaka Fulani. Wote Huwa Wanapanga Mema, Na Ukipanga Mema Hata Ikitokea Changamoto Utaikabili Vzr,maana Utajua Ni Adui Anaetaka Kuharibu Mafanikio.

Mungu Awabariki Wana Jf
 
Mkuu, Hayo Maneno Hayapo Kabsa Kwny Biblia, Utaona Wanasoma Kwny Kajitabu Kadogo Wamechapisha Tu Wenyewe. Utawauliza Kama Yapo Kwny Biblia Ni Kitabu Gani?

Alafu Suala La Kupata Watatzo Hayo Sio Malengo. Mungu Huwa Maahidi Baraka,mafanikio,heshma,nk, Mungu Hawezi Kukuahidia Baraka Na Laana.
Mungu Awabariki

Umesoma biblia ya wapi wewe?Yesu mwenyewe alisema,duniani mnayo dhiki na shida lakini jipeni moyo.

Na hauwezi kuishi maisha ya raha kila siku kwa kuwa bado tupo duniani na ndio maana hata unapokula kiapo cha ndoa kanisani unatumia maneno hayo;kuwa utavumilia katika shida,ugonjwa na raha.

Wewe hukuwahi kuumwa au kupata shida toka umezaliwa?
 
Ktk Kitabu Cha Yakobo1:5-12, Inasema Mtu Akijaribiwa Na Asiseme Anajaribiwa Na Mungu, Maana Mungu Hajaribiwi Kwa Maovu/mabaya/matatizo.

Maana Yake Ni Kwamba Mungu Hawezi Kukujaribu Kufanya Dhambi Au Umkosee Yeye, Hiyo Ni Kazi Ya Shetani.

Kumbuka Pale Unaweka Agano, Yaan Unapiga Muhuri Ktk Roho Kwamba Hayo Yote Unayapokea.

Na Ndio Maana Ni Muhmu Sana Kujua Unatamka Kitu Gani, Maana Mtu Atakula Matunda Ya Kinywa Chake.
 
Back
Top Bottom