Kwa waliocheki Movie ya Merlin

Kwa waliocheki Movie ya Merlin

eti opisode ya 66 imetoka?? Wa bongo hawawezi kufikia hata robo yake!!
 
mompome tatizo si ndumba za merlin, ni jinsi ya kuzitumia.

usilogwe kununua movie za kichawi za bongo!! utapoteza hela yako! bado sana.
 
muvi ya merlin naipenda sana wadau ina waigizaji mahiri nadhani ni wakati sasa wabongo kufata nyayo km za wenzetu waigizaji
wa kigeni km kina merlin

Si imeishia season 4 ile pale prince alivokufa au??
 
Tatizo si waigizaji bali production. Wenzetu animation za kompyuta ndio hula muda mwingi wa utengenezaji wa filamu. Tatizoletu ni kutokuwa na uwezo wa kuwekeza katika teknolojia.
 
kwa kweli Merlin ni kibogo,amenifundisha unaposaidia mtu usitake kujionyesha kuwa ulimsaidia hata kama unajua bila wew hawezi kuishi.
 
Haiifikii legend of the seeker
 

Attachments

  • 1431720969469.jpg
    1431720969469.jpg
    18.5 KB · Views: 640
Halafu eti muda wote alikuwa mfalme baba na hatimae mfalme mtoto walikuwa hawajui kama ndani wanaishi na mchawi " a warlock" when that young king came to realize that Merlin is a sorcerer, he became speechless! "You are a socerer?"

Mkuu Yusomwasha hii picha ilitafuna mda wangu sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom