N40 jipya lina chaji mpaka Watt 150
Acha bangi nimetumia hiyo kituWewe, usipaparikie kujibu vitu usivyovielewa.
Kwanza soma swali vizuri, kisha tulia kimya.
ndo uwanja wako wape vitu vya canadaIta charge taratibu sana utaichukia.
Usijifanye mjuaji wa kila kitu, kwa heriIta charge taratibu sana utaichukia.
Duuu, kwahiyo betri ndio inachaji solar panel?N40 jipya lina chaji mpaka Watt 150
Tafuta watts 60 ukikosa 50 sio mbaya,itachaji ila utalala Giza kila siku haitojaa vizuri maisha yake yote hali ukiitumiaHivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?
Usijifanye mjuaji wa kila kitu, kwa heri
Acha bangi nimetumia hiyo kitu
Kuchaji litachaji ila kwa muda mrefu sana so utajikuta ndani ya siku moja linaweza lisijae maana kila mkoa huwa una maximum sun peak hours zake so kwa mfano ukicheki dar es salaam labda jua linaanza kuwa saa nne asubuhi mpaka saa 10 jioni so utaona hapo una 6hours ambapo solar pv panel yako itakuwa inatoa umeme maximum capacity yake.Hivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?
Sasa hapa ndio umeandika nini?N40 jipya lina chaji mpaka Watt 150
Ndio inavyotakiwa kuwa, 30w panel ina charge N40 ili mradi iwe 30w kweli sio zile wanabandika sticker ya uongoHivi kama una betri n40 na ukafunga solar panel ya watts 30 je inaweza kuchaji hiyo betri?
Nashkuru kwa jibu zuri.Kuchaji litachaji ila kwa muda mrefu sana so utajikuta ndani ya siku moja linaweza lisijae maana kila mkoa huwa una maximum sun peak hours zake so kwa mfano ukicheki dar es salaam labda jua linaanza kuwa saa nne asubuhi mpaka saa 10 jioni so utaona hapo una 6hours ambapo solar pv panel yako itakuwa inatoa umeme maximum capacity yake.
Kiutaalamu tunasema the charging current should be 10% of the battery Ah so kwa hilo battery lako la N40 ukitafuta 10% yake utaona ni 4Amps so utatakiwa uwe na panel itakayo kupa 4Amps na hiyo ni panel ya 50watts lakini hapo unakuwa umelichukulia hilo battery lako kuwa halina losses(ideal case) lakini during battery charge we take 40% of losses into consideration, so kama unatumia battery la N40 zidisha kwa 1.40 kupata battery capacity with its losses during charging then baada ya hapo jibu utakalo lipata tafuta 10% yake na hicho ndio kitakuwa kiwango cha current kinachotakiwa kulicharge battery lako.ukicha pata hiyo current zidisha mara 12V kupata power ambayo ndio itakuwa panel utayotakiwa kuinunua.
Pia kumbuka type ya panel nayo inachangia katika kulijaza charge battery lako ndani ya muda unaofaa ukinunua panel za ilimradi tuu utajikuta battery halijai, solar pv panels nzuri ni
Monocrystalline na polycrystalline
Kuunga pv parallel au series kunategemea system voltage.unapounga parallel unaongeza current na unapounga series unaongeza voltage. So unapoongeza current maana yake unaongeza uwezo wakujaza battery charge kwa haraka zaidi.Nashkuru kwa jibu zuri.
Ni njia ipi nzuri na salama ya kuunga pv. Parallel au series?