Kwa walioapply post za Tutorial assistants UDSM

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Kama kuna update yoyote ya kuitwa kwenye interview kwenye zile vacancies za last last week maana walisema kwenye tangazo for immediate placement.

Naomba tupeane update
 
Kuhusu zile nafasi ni kwamba UDSM wamepewa hadi tarehe 22/06/2016 wawe wameajiri. Hii ni kuanzia kwenye screening of the interviewees, short listings, interviews, selection na mwisho kuhakikisha watu wapo kwenye mfumo wa ajira. Kwahiyo sikilizia wiki ijayo kama unahitajika utawasikia.
 
Sawa mkuu.. Taifa linakosa watu wenye weledi wa kujibu hoja kwa umakini kama wewe. Kudos!
 
Tangazo lilisema immediate ndo mana nimeuliza kama kuna update yoyote.

Halafu acha ushamba we binti, yaani kuuliza tu ndo unadakia 'njaa mbaya' unaharisha maneno tu utasema una cholera. Kwanza umetokea pori gani Tanzania?
Labda pori la Kigosi Moyowosi!!!!
 
Wakuu!!Mwenye updates ya kinachoendelea Nelson Mandela Arusha, Tangazo lao la kazi kwenye website yao linasema deadline ni 18th June 2016 tena imekua bolded kabisa, na web ya utumishi the same date ila nashangaa wamesha shortlist na kuita interview leo...Hii imekaaje?
 
H

aHao jamaa ni wapuuzi sana hata mm nimeshangaa nimeitwa na sikumbuki niliaply lini tumepiga written daaah hawa utumishi wawe na huruma yaani maswali ni ya form 1 afu cost ni juu yetu
 
Kama kuna update yoyote ya kuitwa kwenye interview kwenye zile vacancies za last last week maana walisema kwenye tangazo for immediate placement.

Naomba tupeane update
mkuu,udsm process wamemaliza?
na utaratibu wao wa recruitment ni May-July tu?
 
Back
Top Bottom