Kwa walioachana japokua wanapendana

Kwa walioachana japokua wanapendana

Joined
Aug 29, 2019
Posts
99
Reaction score
154
Kuna muda unafika baada ya kutokuelewana kwingi kutokea unaona huwezi kabisa kuishi naye hata kama unampenda kiasi gani. Yaani kwa jinsi unavompenda unaona atleast umuache aende angalau labda inaeza kupunguza maumivu.

Usiombe ukutwe na hiyo hali, inauma sana.
Am in
 
Zamani ndo nilkuwa na moyo huo wa kuumiaumia lakini baada ya kutoswatoswa vya kutosha yaani akiondoka sawa akirudi poa asiporudi napo safi tu,
 
Zamani ndo nilkuwa na moyo huo wa kuumiaumia lakini baada ya kutoswatoswa vya kutosha yaani akiondoka sawa akirudi poa asiporudi napo safi tu,
Kabla ya hapa hata mi nilikua hivo Mkuu ila kuna baadhi ya wanawake ukikutana nao lazima ikuume
 
Wakoje hao, na wanapatikana wapi? Labda na Mimi moyo urudi katika hali yake.
Mkuu utakutana na mwanamke mzuri,
Yule mwanamke ambae ukifunga macho hua ndo unataka kwa muonekano mke wako ndo awe ivo.. bahati nzuri mnakua mna chemistry nzuri yani mnapendana sana!! Mwanamke ambae anakutosheleza hadi unawaacha wanawake wwngine ulokua nao mwanzo.. sasa anakumaliza kabisa kwa hadi bikra unamtoa we mwenyewe!! ila unakuja kuona ana tabia za ajabu ambazo kila siku unamrekebisha lakini harekebishiki, anafanya makosa ambae kila siku unamwambia, comment zake zinaonyesha hana cha kupoteza!! Ukipata wa ivo utanielewa
 
Hiyo huwa inatokea kwa mwanamke mmoja tu maishani.zaidi ya hapo umerogwa wewe
 
Wangu kaniacha ndan ya mwez mmoja na kaamua kuniblock nkawa nacheka tu,ila imefika juz naina msg yake"hi"nkamchunia,kaamua kupanda hewan na kuanza nambia kuwa ameshndwa kuish bila uwepo wangu due amenizoea sanaa,nlchomwambia ni kuwa bdo nafac ipo tuendezee tulipoishia
 
Wasichana wa siku hizi mkiachana hata Kwa wiki moja anakitembeza huko...
Mkirudiana anakuchora Tu
Sio wote....... ni fursa ya kujitafakari ni wapi ulipokosea na kutorudia kosa.
Kuachana kuna maumivu makubwa hasa kama mtoa bado alivyosema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom