Kwa walio wahi kushiriki aptitude test za PCCB

Mshati940

Member
Apr 2, 2015
72
53
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Naomba msaada kwa ambao wamewahi kubahatika kushiriki aptitude test za PCCB miaka ya nyuma asa katika position ya investigation officer, japo hits za namna wanavyo uliza maswali yao na coverage yao.

Natanguliza shukurani
 
Kumbe hiyo test unafanya pekee yako kumbe kada mmoja wa PCCB amepita na kuona huu uzi.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Naomba msaada kwa ambao wamewahi kubahatika kushiriki aptitude test za PCCB miaka ya nyuma asa katika position ya investigation officer, japo hits za namna wanavyo uliza maswali yao na coverage yao.

Natanguliza shukurani
Ndugu mshat natamani niwasiliane na wewe.... Naomba unipe email yako au namba yako ya Whatsapp..... Asante sana
 
Mpaka hapa wote mnaotaka kudesa mmeshafeli.

Kazi zenyewe zinahitaji wa ukakamavu wa kutunza siri.

Mtaweza kweli kwa mwendo huu.
 
Back
Top Bottom