Kwa walio wahi kupanda ndege tu

Kwa walio wahi kupanda ndege tu

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Kama wewe umewahi kupanda ndege otea hapa wapi?

images (1)~2.jpeg
 
Maswali mengine du, hapo ni juu ya mawingu!
 
Jamaa sijui kafikiria nini kuuliza hivi.
Inawezekana kabisa jamaa hata hajawahi kupanda pipa ila baada yakuifuma picha ya namna hiyo basi akajifungua nayo kwakuwa mojakwamoja inaonyesha ipo maeneo gani. Nisawa na mtu ameona bango kubwa limeandikwa karibu Dar es Salaam halafu anauliza wapi hapa.
 
Back
Top Bottom