kinehe
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 205
- 198
Habari wadau, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, sijui niseme nilikuwa/nina mchumba wangu home kwetu tyr nilishamtambulisha mwezi kama huu mwaka jana, kilichokuw kinafata ni kwenda kwao kutoa mahari, najitahd kadr ya uwezo lakin bado vyuma vimekaza yeye kaona namchelewsha kasema tuachane kila mtu aendelee na maisha yake, japo mmi nlkuw tyr hata kesho kufunga nae ndoa, ila ndo pesa ya mahar ndo kwa sasa sina,