Kwa walio kataliwa/kuachwa sababu ya mahari tukutane hapa

kinehe

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
205
198
Habari wadau, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, sijui niseme nilikuwa/nina mchumba wangu home kwetu tyr nilishamtambulisha mwezi kama huu mwaka jana, kilichokuw kinafata ni kwenda kwao kutoa mahari, najitahd kadr ya uwezo lakin bado vyuma vimekaza yeye kaona namchelewsha kasema tuachane kila mtu aendelee na maisha yake, japo mmi nlkuw tyr hata kesho kufunga nae ndoa, ila ndo pesa ya mahar ndo kwa sasa sina,
 
Pole sana
Mshukr sana Mwenyez Mungu huwez jua amekuepusha na nn

Mwache aende tu amekosa uvumiliv kwa jambo hilo sasa hata ungemuweka ndani ingekuaje siku ukikosa
 
Kuna uncle yangu baba mkwe alimwambia mahari anataka carina mpyaaaaaa wakati yeye hata bodaboda hana kumwambia mchumba ake wassidiane kupata hiyo mahari akasema hawezi penzi likawa limeishia apo
 
Back
Top Bottom