Kwa walio funga ndoa tu.

mkuu kuwa sawa sawa ni pamoja na kumfikisha kileleni, je huwa anafika? kwa maelezo yako inaonyesha mkeo sio mpenzi wa sex ila ungeweza kumfanya aipende kama na wewe ukijitahidi kwa upande wako kuhhakikisha hakuna unachobakiza..

Ufafanuzi plz nilipo bold kama hutajali Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Uko tayari kwa ufafanuzi kwa vitendo? Kwenye practical my hommie is the best.

hommie Asprin yaani wananchi wote hapa ni Ennie tu eti hajaelewa apo, sasa sijui inakuwaje kama inabidi practicals, utaandaa vifaa vyote vya maabara
 
Last edited by a moderator:
Kila mmoja anahaki ya kumuanza mwenzie kila anapojisikia hamu. Mfanye awe huru kwako.
 
Kaka, hivi mbona tumeacha maadili haraka hivi? Mambo ya chumbani unakuja omba ushauri humu? Huoni sasa uliyo yapewa? Ati unachapiwa, na weye faster utaenda home ukamzabe vibao mtoto wa watu ati; niambie huyo mwizi wangu ni nani. Lo!
Sikiliza vizuri; Mwanamke wa kiafrika asili; HAKIKA, labda ajifanye amelewa, lakini akuambie njoo tucheze mechi! Kwanza unajua hajui huo mchezo unaitwaje?? Kama haujui jina lake, atakuambiaje??
Katika watu walio jaliwa wake wenye ustaha, weye ni mmoja wao. Sidhani hata weye huwa unamwita kutoka sebuleni; Mama nanihii weye, njo haraka niku do. Hapana, mkiwa wenyewe tu, ukianza kuvua nguo yeye anachungulia tu anajua mzee ana haja na mie. Kwa aibu aibu anajiweka mikononi mwako. Actions speaks louder than words.
Elewa hilo. Mtoto aliye lelewa vizuri na mamake hawezi kukuambia njoo leo tu do. Msome matendo yake, macho yake, tembea yake nk.
 
Hapo kwenye kubakiza ndio sijaelewa,anabakiza nini?

kuna makitu anabakiza, hamalizi au hali chakula chote kwenye sahani. ndio shida sasa mpishi haoni sababu ya kupika. Asprin mwenyewe anakomba mboga, usidhani anaitwa "babu" bure Ennie...think!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…