Mimi niko k'ndoni studio dsm, pc yangu aina ni Dell D600, nilikuwa naitumia kipindi niko chuo miaka michache iliyopita, ila tangu nimalize ni muda sijaitumia, juzi kati nimeikumbuka nimejaribu kuweka window 7 & 8 zinazingua, inasema somefiles missing lkn nikitunia cd hizo on other machines zinafanya kazi, mtaalam unahisi hapo shida ni nini?