ukiona ivo ujue system ao bado haijaruhusu kwa bachelor kuanza kuomba hii second roundSasa mkuu second selection si wamefunga kwa sasa mpaka tcu watakapofungua upya
hata sua ilikua inanifanyia ivo ivo ilaa baada ya siku kazaa icon ya bachelor ikaaza kuonekana pialabda kwao tu
Bachelor in computer sc.. e.t. cUna apply nn
Au ww umeona sehemu ya ku-uploadia chet??Una apply nn