Obbyally mbasha
Member
- Dec 12, 2012
- 19
- 0
Habari zenu wapendwa, mimi ni miongoni mwa walimu wapya grade 3 nimepangwa Mwanza wilaya ya kwimba kwa yeyote aliyopo Dodoma wilaya yoyote na anapenda kufanyia mwanza kama yupo tayari tubadilishane,
nitajitahidi kisha nitakujulisha, wewe upo dodoma wilaya gani.?Aisee mi nimepangwa lakini ni bachelor na natamani sana kufanyia mwanza, kama vipi fanya mchakato kama itawezekana ikiwezekana get me via 0716082928