Kwa walimu wa sayansi, wanafunzi -- innovation!

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Nimeona hii katika pitapita yangu online. Umefika wakatiwa kuhimiza ubunifu, ugunduzi na vyote vinavyokuja navyo kwa wanafunzi wetu kama tunataka kuwa na taifa lenye wanasayansi waliofundwa kutoka udogoni.

Hebu tembeleeni hiki kiungo na muanze kuhimiza vijana kushiriki. Naamini wapo wengi wenye uwezo, sasa platform imepatikana kuuonesha.
 
Back
Top Bottom