Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Kama wewe una pS4 na huna CD ya fifa17 huu ndio muda wako sasa. Ingia Playstation Network na uweze kununua game hilo ambalo kwa sasa liko kenye bei ya promotion. Linauzwa Dola 30 sawa na shilingi kama 65000 za huku.

Nikukumbushe CD ya ps4 ya Fifa 17 inauzwa mpaka 130,000



Hiyo hapo proof. Mimi namalizia taratibu za kupata mastercard nilinunue leo.


Pia yapo magemu mengine mengi yanauzwa kwa promotion kwa wiki mbili hizi. Wahini wadau.

Kwa wale mnaocheza online mnaweza kuniadd gamer tag yangu ni wizzyquan
 
Eti mkuu ps4 na ps3 mpya dukani zinaweza kuwa bei gan sshv..
Sijui bei za dukani ila naiushauri tafuta ofa nzuri mtaani utapata hata controller mbili na Cd kadhaa.
Dukani inakuja boxed na controller moja tuu
 
Sijui bei za dukani ila naiushauri tafuta ofa nzuri mtaani utapata hata controller mbili na Cd kadhaa.
Dukani inakuja boxed na controller moja tuu
Asante mkuu..ila ukipata sehemu/mtu yoyote wanapouza hizi mambo naomba uniUpdate kk
 
Swali langu internet router au modem gani unatumia na gharama zikoje kwa siku


 
swali langu internet router au modem gani unatumia na gharama zikoje kwa siku
Mimi natumia tu Airtel kwa kucheza online mods. Huwa hazili bando kama wengi wanavozania. sana sana usiku maana mchana haya majitu siyaelewi kabsaa.
Kwa kudownload na kununua natumia Halotel. Naunga 10GB za usiku naacha sim kwenye chaji. Nawasha hotspot.
Natega alarm nikiamka saa tisa nakuta inamalizia au imemaliza nazima console
Kwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…