kwa wale wenye facebook pages

kwa wale wenye facebook pages

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
5,814
Reaction score
12,633
Hivi unapo-boost post au page kwa kutumia credit card unalipia malipo halali kabsa I mean pesa au maana unapojaza ile credt card tayari unakuwa umefungua adsacount na unakuta $$ nyingi kwenye account yako lakini inakuwa siyo pesa kama pesa kabisa. Please nijulisheni wakuu hizo namba namba za dollars kwenye adsacoount kazi yake ni nini.
 
Back
Top Bottom