Kwanini ujitie kitanzini wakati kuna utata?Vipi lakini wewe unaona ni sahihi?
mimi kuna mtu nilikua nae kwenye mahusiano ikawa kama bado siku mbili aje home kujitambulisha process za ndoa zianze aisee vitu nilivyokuja kuona ikabid zoez lisitishweHabari za saa hii wanajamvi, husika na kichwa cha habari.
Hivi inakuwaje mtu unaanzisha nae uhusiano mnavuka stage kutambulishana kwa wazazi, mahari , uchumbani hadi mnawaza ndoa halafu huwi muwazi kwa mwenzio hadi unasuburi kuuliza na pastor kwenye madhabahu kama unamkubali fulani bin fulani kama bla bla bla afu simply unasema No!... Hii imekaaje ina maana muda wote mnachumbiana hauku sure kama unampenda au labda hii No huwa na sababu nyingine...
Pendekezo langu kwenu wanandoa watarajiwa embu kabla hamjaamua Ndoa muwe mnaulizana kama kweli mnaihitaj na kama bado ni vizuri kama msiharakishe kwani mnawavunja moyo wapendwa wenu.
Asanteni.
kuna sababu nyingi mkuu...
1. unajiandaa kufungishwa na pastor ghafla unaletewa picha zake za utupu utasema yes!!!?
2. unajiandaa kufunga ndoa ghafla mpenzi wako ambaye ulizushiwa amekufa ili umuoe huyo uliyenae ghafla unamuona.. na mlipendana kweli.. utasema yes!!!!?
3. unajindaaa kufunga ndoa ghafla unapata taarifa kumbe tayari alishaolewa sehemu na hajaachika... utasema yes!!!!?
Uliona vitu gani mkuu share nasi tujifunze.mimi kuna mtu nilikua nae kwenye mahusiano ikawa kama bado siku mbili aje home kujitambulisha process za ndoa zianze aisee vitu nilivyokuja kuona ikabid zoez lisitishwe