Kwa wale wataalamu wa ku "code" & "programming"

Kama utasoma c/c++ weka codeblocks: Java weka intellij web developing weka apatna studio
Iv hii inshu ya coding & programming inahitaji laptop iwe na specification zp?
 
Mkuu nataka nijikite hapa ''software developer'' lugha gani ya kujifunza km beginner?
Kama ilivyo katika maisha halisi, tunawasiliana kwa lugha nyingi tofauti likewise ndivyo ilivyo kwenye programming, there are a lot of languages. Kwa muktadha huo huo, jinsi lugha kama mandarin(chinese), english,spanish, arabic zilivyo na native speakers wengi ndivyo ilivyo kwa software development, kuna lugha kama c, c++, java, pythonn..n.k, ambazo hutumiwa na developers wengi. Among those popular languages, ningekushauri as a beginner uanze na python. Why python? Simply because imeonekana kuwa na urahisi/unafuu wa kuelewa basics za programming as compared na hzo nyingine.

Programming is not for prodigies, geniuses as portrayed kwenye movies na series tunazozichek, It is a learned skill ambayo average person can learn. It requires dedication, drive and above all passion for solving problems.

Kila la KHERI.
.
 
Iv hii inshu ya coding & programming inahitaji laptop iwe na specification zp?
1. Kama budget ni ya kawaida, itabid uchukue P.C ambayo RAM yake ni atleast 4 gb, CPU @2.0 ghz na kuendelea but iwe Intel series na pia keyboard yake iwe durable (isiwe mrenda) maana ndo uwanja wa kazi.

2.Kama mfuko wako unahema vzuri, unaweza ukacheki lappylist.com (programming section), ambao huwa wanafanya analysis na kupdate programming laptops kila mwaka, ukaangalia genuine laptop inayokufaa au inyolekeana na hzo.
 
Kuna laptop hapa specifications zake ni ram gb4 hdd500 Intel core inatosha kwa kazi mkuu
 
Kama MTU ndo anaanza programming then anatumia java,huwa inasumbua sana
 

october ndo hii tayari!
 

Mkuu mimi Ram 2 GB n
 
Nimeanza kujifunza kupitia freecodecamp.com..hivi hii html ni moja ya lugha ipi.? Ambayo elements zake ni <h1></h1> naomba mnijuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Html siyo programming language bali ni markup lnguage mkuu.
Sema kuanzia html5 niliwahu sikua inakuwa developed iwe powerful itumike kwenye programming sijui hii kitu iliishia wapi.
Hata project za mizilla os na simu yao app zake zilikuwa based hapo nadhani.
Wengine wanaweza kukuelewesha aidi
 
Mkuu mm nina PC yenye 2GB ram na hdd ya kutosha je haiwezi pia kufaa kwaajili ya Programming?
Cc. P value
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…