Mathematically Hamna jibu!
kwa sababu kama physics ilivyo na principles zake basi nayo math ina principles zake, nakumbuka siku ya kwanza kabisa form one techer wa math alianza kutufundisha mambo ya even & odd number . Even ni namba zinazogawanyika kwa mbili bila baki, Odd ni namba zinazo gawanyika kwa mbili alafu inabaki sehemu "common ni 1/2" au inabaki moja kwa lugha nyepesi...
Hapo juu umetupa odd number from 1,3,5,7,9,11,13 to 15 hizi zote ni odd number. Principlers za odd na even zipo hivi
odd+odd=Even
odd+even=Odd
odd x even=Even
even/even*even=odd
hapo kwenye swali umetupa tuchague odd 3 ambazo uki add ziwe (30) ambayo ni Even ambapo mathematically hicho kitu akipo
odd+odd+odd=
(odd+odd)+odd=
even+odd= Odd
lakini kwenye swali jibu ni 30 ambalo ni even
kwa hivyo hilo swali lako HALIWEZI KUWA NA JIBU LA 30 jibu pekee ni odd number? Labda 29 na 31 etc.
Lkn kwenye kila kitu kuna alternative solution
Solution:
kwenye math ukiona coma "," ujue maanisha decimal "." na ukiona "." inamaanisha zidisha
tunachukua 11,3 = 11.3
tunachukua 15,7= 15.7
alafu tunachukua 3
Hence proved
11.3 + 15.7 + 3 = 30