Kuna laptop nimeichukua kwa jamaa nikianza kuichaji inaniandikia battery recalibratin halafu ikiendelea inaniandikia chajing betry to ful baada ya dk 10 inajaa halafu ina andika dischajing betry to empty inaanza kushuka mpaka zero..sielewi shida ni nini msaada tafadhali.