Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Mhhh kama ni mke wa mtu si unatafuta ngumi Mrembo by Nature
Haaaahh ni mbaba, kwa one day tuuuuuuuu, keshokutwa anarudi
gfsonwin asante sana sana kwa salam hizi za Valentine na mimi nikutakie siku njema yenye upendo wa wale wote wanaokupenda kwa dhatiswtlo Kaizer na dada mkubwa AshaDii kesho tuwe pamoja sana.
lkn kipekee kabisa sitoweza kuwasahau wanangu Ronn M, na noahism, wadogo zangu Mentor(pole kwa kuumwa), nyabhingi, platozoom, Blaine, Smile, kaka zangu wote Mr Rocky ( aunts zangu wazima), SnowBall, Bazazi, Dark City Mtambuzi WABHEJASANA, Jiwe Linaloishi, dada na wadogo zangu wa kike FP Kaunga Mwali Kongosho King'asti Madame B Paloma amu
mashostito wa ukweli snowhite na cacico have happy V day kwenu nyooote!!
asante sana rafiki yangu......swtlo Kaizer na dada mkubwa AshaDii kesho tuwe pamoja sana.
lkn kipekee kabisa sitoweza kuwasahau wanangu Ronn M, na noahism, wadogo zangu Mentor(pole kwa kuumwa), nyabhingi, platozoom, Blaine, Smile, kaka zangu wote Mr Rocky ( aunts zangu wazima), SnowBall, Bazazi, Dark City Mtambuzi WABHEJASANA, Jiwe Linaloishi, dada na wadogo zangu wa kike FP Kaunga Mwali Kongosho King'asti Madame B Paloma amu
mashostito wa ukweli snowhite na cacico have happy V day kwenu nyooote!!
@Mrembo by Nature naomba uniunganishie yeyote ambaye bado hajaambulia mwenza hadi saa hii
mnh hii ''siredii'' imekaa kuvunja ndoa.. Wengine wake zetu tunapigana vikumbo humu majukwaani.. Unaweza kumtia appointment mamsap bila kujua aisee
mie nna vidumu vingi sijui hata nitoke na yupi