Kwa wale wasio na usingizi tu!

Stress yangu hadi saa hii mechi ya ligi kuu Uingereza Man U Vs Everton (mapumziko), Man U hajapachikwa bao...yaani inauma sana....

FT Man 0-1 Everton umefurahi mkuu?
 
Jaman hebu tupige story basi,najua wote tusiolala tuna stress,kila mtu afunguke hapa stress zake tufarijiane

Mkuu hata mimi usingizi haupo. Soma Bible kama unataka kutoa stress (Stress free).
 
Jaman hebu tupige story basi,najua wote tusiolala tuna stress,kila mtu afunguke hapa stress zake tufarijiane

Unajua wakati mwingine stress ni kitu cha kufikirika tu, hakipo. Unweza tulia na ukaanza kuzichambua kwa mtazamo tofauti ukakuta kumbe ni mawazo tu ndio yanakufunga kwenye eneo flani mkuu.
 
Sijalala hapa jirani yangu kaingiza dogodogo.. Kanatoa sauti murua mpaka usingizi umepea.
 
usiku ndiyo mda mzuri wa kuwaza mambo makubwa na kutolea maamuzi mazito kwa sababu kunakuwa kumetulia sana
 
si lali maana kuna mtu alini udhi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…