Kwa wale wapenzi wa Amapiano

Kwa wale wapenzi wa Amapiano

Joined
Aug 27, 2021
Posts
35
Reaction score
50
Niaje wakuuu hii ni kwa niaba ya wale wote wanaopenda mziki wa Amapiano drop ngoma yako unayoikubali yoyote ya Amapiano


felo le tee ft Myztro
 
Wabongo kwa kuharibu vitu hawajambo, saivi amapiano za kibongo ni mbayaaa kishenzi. Washaishiwa idea za kuliimbia beat la amapiano.
 
Back
Top Bottom