Kwa wale wanaopenda kuhack wireless

Kwa wale wanaopenda kuhack wireless

Joined
Jun 20, 2012
Posts
94
Reaction score
40
Wadau sasa ninaimani kwa muda mrefu mumekua mukisubiri kwa hamu jinsi yaku huck wireless internet na kuhack vitu mbali mbali easier and fast sasa backtrack5 ni mwisho wa matatizo kwa install os backtrack 5 uinjoy hacking system
 
Muungwana, umeandika kifupi sana. Backtrack 5 ina procedures na tools nyingi sana za Hacking na Penetration tests

Natamani Moderators waanzishe DARASA la TEHAMA (ICT) ili niwe naweka maarifa yaliyojaa kwa ajili ya faida ya Tanzania.
 
Lazima ujue njia ndio ufike mahali husika kwaiyo ni easier sio kama kutumia os nyingine
 
Muungwana, umeandika kifupi sana. Backtrack 5 ina procedures na tools nyingi sana za Hacking na Penetration tests

Natamani Moderators waanzishe DARASA la TEHAMA (ICT) ili niwe naweka maarifa yaliyojaa kwa ajili ya faida ya Tanzania.

Nadhani Invisible amekupata...
 
Last edited by a moderator:
kuna shoti ya umeme hapa ngoja itambae
 
Muungwana, umeandika kifupi sana. Backtrack 5 ina procedures na tools nyingi sana za Hacking na Penetration tests

Natamani Moderators waanzishe DARASA la TEHAMA (ICT) ili niwe naweka maarifa yaliyojaa kwa ajili ya faida ya Tanzania.
hata mimi nimeiona tutorial youtube aisee yaani co rahisi kama jamaa alivyoandika halafu ni kubwa sana
 
Uonacho si kama kinachofanywa angalia bootable flash system youtube unaeza ukasema hufanyi but it just 30 min thngz
 
Back
Top Bottom