englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
kuna girls wakivaa sketi,khanga au suruali wanavaa kata kNakaa nikafikiria sana sijui kwanini vijana wa sasa wanaiga mienendo isiokuwa na manufaa yoyote kama KATA K!!kisha wakitembea na mikono mifukoni kuzuia suruali isidondoke shida yote ya nini jama usoivaa kiunoni ikatuliaaa!!Sijui wanamuonesha nani hizo boxer sijui kaptula zao honestly i think its very immatured and not cool at all!!
Wewe ni mhanga mmojawapo nini?Hii ni tabia ya wanaume kwa asilimia kubwa!!Ni aghalabu sana umkute msichana kavaa kama usemavyo na kwanini kanga ivaliwe KATA K anaenda kucheza ngoma ya mdundiko au?kuna girls wakivaa sketi,khanga au suruali wanavaa kata k
mi si mhanga ila naona vijana wanapenda kuiga waonekane tofautiWewe ni mhanga mmojawapo nini?Hii ni tabia ya wanaume kwa asilimia kubwa!!Ni aghalabu sana umkute msichana kavaa kama usemavyo na kwanini kanga ivaliwe KATA K anaenda kucheza ngoma ya mdundiko au?
Tofauti for non-sense aisee!!mi si mhanga ila naona vijana wanapenda kuiga waonekane tofauti
huvai sketi fupi?Tofauti for non-sense aisee!!
never!!huvai sketi fupi?
hongeranever!!
Thank you!!!:smile-big::smile-big::smile-big:hongera
teh hujawahi kuacha wazi hapo kifuani?yani juu ya boobs?Thank you!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
Kisha nitanufaika na nini?Mimi msichana wa kiislam sivai mavazi unayoyaongelea navaa nguo za heshima!!My body is a my temple not for everybody!!teh hujawahi kuacha wazi hapo kifuani?yani juu ya boobs?
shule niliyosoma high school wanafunz wote manigga walikuwa wanateremsha suruali nikiwemo kasoro wazungu tu.
niliona sawa tu kwa wakat huo ila kwa sasa siwez kuteremsha. najishangaa kwa nini nilikuwa navaa kata k.
Wanawake wakivaa zile model zao za jinsi halafu wakaweka KATA K, huwa wananitoa udenda sana.Wewe ni mhanga mmojawapo nini?Hii ni tabia ya wanaume kwa asilimia kubwa!!Ni aghalabu sana umkute msichana kavaa kama usemavyo na kwanini kanga ivaliwe KATA K anaenda kucheza ngoma ya mdundiko au?
Ndio maana najistiri vizuri sitaki kero wala bughudha kutoka kwa walafi kama wewe!!!Wanawake wakivaa zile model zao za jinsi halafu wakaweka KATA K, huwa wananitoa udenda sana.
hongera sana wangu maana wapo wengi naowafahamu ndo zao na dini ndo hivo but inaonekana ni jinsi tu mtu alivyo na msimamo na imani na kujiheshimu piaKisha nitanufaika na nini?Mimi msichana wa kiislam sivai mavazi unayoyaongelea navaa nguo za heshima!!My body is a my temple not for everybody!!